Chama ni kundi la watu wanaoungana kwa kusudi la kushirikiana ili kufikia lengo fulani, ambalo linaweza kuwa la aina nyingi tofauti, kwa mfano: dini, elimu, siasa, sanaa, michezo n.k.
Idadi ya wanachama inaweza kuwa tofauti sana, kuanzia wachache hadi milioni kadhaa.
Kwa kawaida chama kina uongozi wake unaopatikana kwa kufuata taratibu maalumu.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |