Chanzo

Chanzo ni asili ya kitu kinapoanzia au mwanzo wa kitu kinapoanzia, kwa mfano chanzo cha mto.

Pia chanzo huweza kufahamika kama ulipozaliwa, sababu ya kitu kujitokeza, huweza kuwa ni mzizi au taarifa, funda mwandishi au chanzo cha mwanga.

Makala hii kuhusu "Chanzo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne