Chidinma Nkeruka Okeke | |
Amezaliwa | 11 Agosti 2000 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji soka |
Chidinma Nkeruka Okeke (alizaliwa 11 Agosti 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza katika klabu ya Madrid CFF. Awali alikuwa katika klabu ya FC Robo katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria na pia alicheza katika timu ya taifa ya Nigeria. Alishiriki na timu ya Nigeria ambayo ilishinda Kombe la Wanawake la WAKU la mwaka 2019 huko Ivory Coast. [1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)