Cho Oyu

Mlima Cho Oyu, upande wa Kusini

Cho Oyu ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,188 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na Uchina.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne