Chrome OS

ChromeOS

ChromeOS ambayo wakati mwingine hujulikana kama chromeOS na ambayo hapo awali ijulikana kama Chrome OS, ni usambazaji wa Linux uliotengenezwa na iliyoundwa na Google. Inatokana na mfumo wa uendeshaji wa ChromiumOS wa chanzo huria na hutumia kivinjari cha wavuti cha Google Chrome kama kiolesura chake kikuu cha mtumiaji[1].

  1. Stokes, Jon (Januari 19, 2010). "Google talks Chrome OS, HTML5, and the future of software". Ars Technica. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 23, 2010. Iliwekwa mnamo Januari 23, 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne