Elizabeth Cicely Ridley (tarehe 26 Septemba 1927 - 23 Desemba 2008[1]) alikuwa mwanahisabati wa Uingereza na Marekani anayejulikana kwa kazi yake katika kemia ya hali ya hewa. Akishilikiana na Roble-Dickinson ambapo walifanikiwa kuanzisha shirika la kitaifa linalo usiana na uchunguzi wa Hali ya hewa.