Clermont-Ferrand | |
Mahali pa mji wa Clermont-Ferrand katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 45°46′59″N 3°04′56″E / 45.78306°N 3.08222°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Auvergne |
Wilaya | Puy-de-Dôme |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 138,992 |
Tovuti: www.ville-clermont-ferrand.fr |
Clermont-Ferrand ndiyo mji mkuu katika mkoa la Auvergne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 427,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 321-602 kutoka juu ya usawa wa bahari.