Coimbra

Sehemu ya mji wa Coimbra


Coimbra ni mji wa wilaya ya Coimbra, Mkoa wa Kati nchini Ureno wenye wakazi 143,397. Hivyo ni mji wa nne nchini, baada ya Lisboa, Porto na Braga.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne