Jimbo | |||
---|---|---|---|
![]() |
![]() |
||
Kauli Mbiu "Qui transtulit sustinet"(kilatini) Qui transtulit sustinet (Latin)(sw) |
|||
Wimbo wa taifa Yankee Doodle |
|||
![]() | |||
Nchi | ![]() |
||
Mwaka wa Kujiunga | January 9, 1788 (ya 5) | ||
Mji Mkuu | Bridgeport | ||
Jiji kubwa | Hartford | ||
Lugha Zinazozungumzwa | |||
Utaifa | Connecticuter (en) | ||
Serikali | |||
Gavana | Ned Lamont (D) | ||
Naibu Gavana | Susan Bysiewicz (D) | ||
Seneta | Richard Blumenthal (D) Chris Murphy (D) | ||
Eneo | |||
Jumla | 12,559 km² | ||
Ardhi | 14,356 km² | ||
Idadi ya Watu | |||
Kadirio | ![]()
| ||
Pato la Taifa (2022) | |||
Jumla | ![]() |
||
Kwa kila mtu | ![]() |
||
Kiashiria cha Maendeleo ya Watu (2022) |
0.950 (6) Maendeleo ya Juu Sana |
||
Mapato ya Kati ya Kaya (2023) |
$91,700 (6) | ||
Eneo la saa | UTC– 05:00 (EST) | ||
Tovuti 🔗ct.gov |
Connecticut ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Imepakana na Massachusetts, Rhode Island na New York. Iko kwenye mwanbao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Hartford na mji mkubwa ni Bridgeport. Jimbo lina wakazi 3,501,252 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 14,356.
Connecticut ilikuwa kati ya majimbo zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.