Costantino Castriota Scanderbeg (kwa Kialbania: Kostandin Kastriota; 1477 – 1500) alikuwa mtemi wa Albania kutoka ukoo wa Kastrioti na prelati wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Isernia (1497 – 1500). [1]
Developed by Nelliwinne