Craig Northey (alizaliwa 9 Februari, 1962) ni mwanamuziki na mtunzi wa muziki wa filamu na televisheni kutoka Kanada.
Yeye ni mmoja wa waanzilishi wa bendi ya Odds, ambayo ilitoa albamu nne kati ya mwaka 1991 na 1996.[1] [2]
{{cite encyclopedia}}
: CS1 maint: date auto-translated (link), from Maclean's