“Cry” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Invincible | |||||
Imetolewa | 3 Desemba 2001[1] | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1999 | ||||
Aina | R&B, Soul, Gospel | ||||
Urefu | 5:00 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | R. Kelly | ||||
Mtayarishaji | R. Kelly | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Cry" ni wimbo kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya mwaka wa 2001, Invincible, wimbo umetungwa na mwimbaji wa R&B na mtunzi, R. Kelly, ambaye ndiye aliyekuwa akiimba sauti za nyuma. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo tatu zilizotungwa na Kelly kwa ajili ya Jackson. Mingine yake ni pamoja na "One More Chance" na "You Are Not Alone".