D. L. Hawkins | |
---|---|
muhusika wa Heroes | |
Mwonekano wa kwanza | "Hiros" |
Mwonekano wa mwisho | "Four Months Ago..." |
Imechezwa na | Leonard Roberts |
Maelezo | |
Kazi yake | Zima moto |
Ndoa | Niki Sanders |
Watoto | Micah Sanders |
Uwezo | Phasing |
Daniel Lawrence "D. L." Hawkins ni jina la kutaja uhusika uliochezwa na Leonard Roberts kwenye mufululizo wa kipindi cha TV cha Heroes. Huyu ni baba wa Micah Sanders na mume wa Niki Sanders, ana uwezo wa kupitia katika vitu vigumu, yaani, ukuta na kadhalika, tena bila hata kupata madhara yoyote yale.