Damian Kyaruzi (amezaliwa 22 Aprili 1940) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Mario Epifanio Abdallah Mgulunde mwaka 1997.
Tangu mwaka huo, alikuwa askofu wa Jimbo la Sumbawanga hadi alipostaafu mwaka 2018.
Developed by Nelliwinne