Daniel Toroitich arap Moi | |
Muda wa Utawala 22 Agosti 1978 – 30 Desemba 2002 | |
Makamu wa Rais | Mwai Kibaki (1978–1988) Josephat Karanja (1988–1989) George Saitoti (1989–1998, 1999-2002) Musalia Mudavadi (2002) |
mtangulizi | Jomo Kenyatta |
aliyemfuata | Mwai Kibaki |
tarehe ya kuzaliwa | 2 Septemba 1924 Sacho, Kenya Colony |
tarehe ya kufa | 4 Februari 2020 |
chama | Kenyan African National Union (KANU) |
chamakingine | Kenya African Democratic Union (KADU) (1960–1964) |
ndoa | Lena Moi (d. 2004) |
signature |
Daniel Toroitich arap Moi (2 Septemba 1924 - 4 Februari 2020) alikuwa Rais wa Kenya kutoka mwaka 1978 mpaka 2002.