Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Dar es Salaam
Dar es Salaam | |||
Jiji la Dar es Salaam | |||
| |||
Majiranukta: 6°48′0″S 39°17′0″E / 6.80000°S 39.28333°E | |||
Nchi | Tanzania | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Dar es Salaam | ||
Tarafa | 12 | ||
Kata | 102 | ||
Mitaa | 565 | ||
Serikali[1] | |||
- Aina ya serikali | Jiji | ||
- Mstahiki Meya | Omary S. Kumbilamoto | ||
- Mkurugenzi wa Jiji | Jumanne K. Shauri | ||
Idadi ya wakazi (2022)[2]: 74 | |||
- Wakazi kwa ujumla | 5,383,728 | ||
EAT | (UTC+3) | ||
Msimbo wa posta | 11xxx | ||
Kodi ya simu | 022 | ||
ISO namba | TZ-02 | ||
Tovuti: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam |
Dar es Salaam ni jiji kubwa kuliko yote nchini Tanzania. Pia ni jina la mkoa wake. Dar es Salaam ni mji mkongwe na wenye watu wengi zaidi katika Jumuia ya Afrika Mashariki. Katika Tanzania ndio mji wenye vitega uchumi vingi na ndio mji unaoangaliwa na watu wengi.
Ni mji mkuu wa kibiashara wa Tanzania wakati Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania (kinadharia tangu mwaka 1973). Mpango wa kuhamishia serikali mjini Dodoma unaendelea kwa kasi chini ya rais John Magufuli, japokuwa bado ofisi kadhaa za serikali, ikiwa ni pamoja na Ikulu, zipo Dar es Salaam.
Mji una wakazi wapatao 5,383,728 kwa hesabu ya sensa iliyofanyika katika mwaka wa 2022[3].
<ref>
tag; no text was provided for refs named DSM
<ref>
tag; no text was provided for refs named Sensa_2012