Dave Brockie

David Murray Brockie (amezaliwa 30 Agosti, 1963 – amefariki 23 Machi, 2014) alikuwa mwanamuziki wa Kanada na Marekani, ambaye alikuwa mwimbaji mkuu wa bendi ya heavy metal ya Gwar, ambapo alijitambulisha kama Oderus Urungus..[1][2]

  1. "Dave Brockie, Alien-Garbed Leader of Gwar, Dies at 50". New York Times. Machi 25, 2014. Iliwekwa mnamo Machi 26, 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Brockie D. Die, Nazi Creeps! Nihil Obstat. Circa 1983; 1(1): 6.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne