David Gerard O’Connell KC*HS (16 Julai 1953 – 18 Februari 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki aliyezaliwa Eire, ambaye alihudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Los Angeles, California, kuanzia mwaka 2015 hadi alipouawa mwaka 2023.
Alitumikia katika eneo la Los Angeles kwa muda wote wa huduma yake ya upadre.[1]