“Dear Mama” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya 2Pac kutoka katika albamu ya Me Against the World | |||||
Imetolewa | 21 Februari 1995 | ||||
Muundo | 12", Cassette, CD, Maxi | ||||
Imerekodiwa | 1994 | ||||
Aina | Hip hop, ballad, R&B | ||||
Urefu | 4:39 | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | T. Shakur, J. Sample, T. Pizarro | ||||
Mtayarishaji | Tony Pizarro, DF Master Tee (mtayarishaji-mwenza), Moses (co-producer) | ||||
Certification | Platinum (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac | |||||
|
"Dear Mama" ni wimbo wa rap ulioimbwa na msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani, 2Pac. Wimbo ulitayarishwa na Tony Pizarro kwa ajili ya albamu ya tatu ya 2Pac Me Against the World, iliyotolewa mnamo 1995. "Dear Mama" ulitungwa na 2Pac kwa ajili ya mama'ke mwenyewe, Afeni Shakur.
"Dear Mama" ulitolewa mnamo tar. 21 Februari 1995 ukiwa kama single ya kwanza kutoka katika albamu. Single hii ilikuwa moja kati ya single zilizopata mafanikio makubwa sana kupita zote zilizotoka kwenye albamu ya Me Against the World. Wimb huu huhesabiwa na watahakiki, mashabiki, na wenye kusisitiza usafaha ikiwa kama moja kati vibao vikali vya hip hop vya muda wote, na kimsingi ni miongoni mwa nyimbo bab-kubwa za 2Pac, kwa kupewa nafasi ya nne kwenye orodha Nyimbo Bora 100 za Rap za About.com.[1]