Diana Veteranorum (leo hii kijiji kinaitwa Zana Ouled Sbaa) ulikuwa mji wa kale wa dola la Roma uliokaliwa na jamii ya Waberber nchini Algeria. Jiji hilo lilikuwa takribani kilomita 40 kaskazini magharibi mwa mji wa Lambaesis na kilomita 85 kusini-magharibi mwa mji wa Cirta.[1]