Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jenerali Didier Etumba Longila
Didier Etumba Longila, alizaliwa Kinshasa tarehe 15 Julai 1955, ni jenerali wa jeshi la Kongo, Mkuu wa Majeshi Jenerali wa Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu Novemba , 2008 hadi kustaafu kwake Julai 14, 2018.