Diego Coletti (alizaliwa 25 Septemba 1941) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alikuwa mkuu wa Seminari ya Kipapa ya Lombardia kuanzia mwaka 1989 hadi 2000, Askofu wa Livorno kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, na Askofu wa Como kuanzia mwaka 2007 hadi 2016.[1]