Diski gandamize (kwa kifupi: DIGA; pia: diski songamano[1]; kwa Kiingereza: compact disc; kifupi: CD) ni kifaa cha kutunzia data katika utarakilishi, inayotumika hasa kuandika, kutunza au kucheza sauti, video au data nyingine kwenye hali ya kidijiti.
Diski hii ni ya kigae, au/na ya plastiki.