Do You Know | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
Studio album ya Jessica Simpson | |||||
Imetolewa | 9 Septemba 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2007-2008 | ||||
Aina | Country | ||||
Urefu | 43:38 | ||||
Lebo | Epic/Columbia Nashville | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Jessica Simpson | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Do You Know | |||||
|
Do You Know ni studio albamu ya tano ya mwimbaji wa Marekani na nyota wa Reality TV Jessica Simpson. Ilitolewa mnamo 9 Septemba 2008 [1] na ilikuwa jaribio lake la kwanza kuvuka kuingia katika mwenendoo wa country. Mtunzi wa nyimbo Brett James alitayarisha albamu hiyo kwa ushirikiano wa John Shanks. Albamu hii iliingia katika chati za Billboard Country katika nafasi ya kwanza na nafasi ya nne katika chati za Billboard 200 huku ikiwa na mauzo yanayoonekana ya 65000 katika Juma la kwanza.[2].