| |||
![]() | |||
Mji Mkuu | Bloemfontein | ||
’‘‘Mji Mkubwa’’’ | Bloemfontein | ||
Waziri Mkuu | Beatrice Marshoff (ANC) | ||
Eneo - Jumla |
Nafasi ya 3 kati ya majimbo ya Afrika Kusini 129,480 km² | ||
Wakazi - Jumla (2001) - Msongamano wa watu / km² |
Nafasi ya 8 kati ya majimbo ya Afrika Kusini 2,706,776 21/km² | ||
Lugha | Sotho (62%) Kiafrikaans (14%) Kixhosa (9.5%) | ||
Wakazi kimbari | Waafrika Weusi(88.0%) Wazungu (8.8%) Chotara(3.1%) Wenye asili ya Asia(0.1%) | ||
edit |
Dola Huru (Kiing.: Free State; Kiafrikaans: Vrystaat) ni moja kati ya majimbo tisa ya Afrika Kusini. Mji mkuu ni Bloemfontein ambayo ni pia makao ya mahakama kuu ya taifa. Jimbo lilianzishwa 1994 kwa kuunganisha jimbo la awali la Dola Huru la Oranje na maeneo ya bantustan kadhaa hasa QwaQwa. Jina la zamani lilifupishwa 1995 kuwa "Dola huru" (Kiing.:Free State, Kiafrikaans: Vrystaat).