Donald Francis Hanchon (alizaliwa 9 Oktoba 1947) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani ambaye aliwahi kuhudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Detroit.[1][2]
- ↑ "Bishop Donald Hanchon". Archdiocese of Detroit (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-12-28.
- ↑ "Biography Bishop Donald F. Hanchon Auxiliary Bishop of Detroit". Archdiocese of Detroit. Iliwekwa mnamo 2021-12-28.