Donasiani wa Reims

Mt. Donasiani katika mchoro wa Jan van Eyck Bikira na Mtoto Yesu pamoja na kanoni van der Paele (1436).

Donasiani wa Reims (alifariki 389) alikuwa askofu wa 7 au wa 8 wa mji huo nchini Ufaransa[1][2] [3].

Masalia yake yanatunzwa Bruges, nchini Ubelgiji[4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[5].

Sikukuu yake ni tarehe 14 Oktoba[6].

  1. M. Guizot, Histoire de l'Eglise de Reims, Collection des Mémoires relatifs à l'histoire de France, Parigi 1824, pp. 13-14.
  2. Charles Vens, BSS, vol. IV (1964), col. 800.
  3. Donatien of Rheims on Wikimedia He died in 421 Vos, Sint Donatianus patroon der kathedrale, stad van CommonsEdmond en ' t bisdom van Brugge. Eenige bladzijden te zijner era, Bruges, 1901.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91643
  5. Donatien de Reims.
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne