Donato Mkuu

Donato Mkuu kutoka Casae Negrae alikuwa askofu wa Karthago (leo nchini Tunisia) kuanzia mwaka 313.

Alishika msimamo mkali dhidi ya Wakristo walioasi ili kuokoa uhai wao wakati wa dhuluma ya kikatili ya Dola la Roma dhidi yao, hasa chini ya Kaisari Dioklesian.

Kwa ajili hiyo alisababisha farakano kubwa ambalo lilipewa jina lake na kuenea hasa kati ya Waberberi, kabila lake.

Alifariki mwaka 355 uhamishoni.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne