Mfalme Dongcheon wa Goguryeo (209 - 248, r. 227-248) alikuwa mtawala wa kumi na moja wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne