Drew S. Days III | |
![]() | |
Amekufa | Novemba 15 2020 |
---|---|
Nchi | Marekani |
Kazi yake | mwanasheria |
|thumb|Drew S. Days III]] Drew Saunders Days III (Agosti 29, 1941 – Novemba 15, 2020)[1][2] alikuwa mwanasheria wa Marekani, ambae alitumikia kama Mwanasheria Mkuu mkuu wa Marekani kuanzia mwaka 1993 hadi kufikia mwaka 1996 chini ya Raisi Bill Clinton. Pia alitumikia kama kama mmarekani mweusi wa kwanza kuwa mwanasheria mkuu msaidizi wa kitengo cha kiraia katika utawala wa Carter kuanzia mwaka 1977 hadi mnamo mwaka 1980.[3]
Alikuwa ni profesa wa Alfred M. Rankin wa sheria katika shule ya sharia Yale, alianza kutumikia nafasi hiyo mnamo mwaka 1992 na kujiunga na kitivo cha sharia Yale mwaka 1981.[4] Kuanzia mwaka 1997 hadi kufikia mwaka 2011, aliongoza mahakama kuu na kufanya rufaa pale Morrison & Foerster LLP na alikuwa ni mshauri kwenye ofisi ya biashara ya Washington D.C.. Mpaka kustaafu kwake mnamo disemba 2011[5]. Aliweza kupata shahada yake ya sheria katika shule ya sheria ya Yale mwaka 1966.[6]Aliweza kukubaliwa kufanya sharia katika Mahakama kuu ya Marekani na katik1992a mataifa]] ya Illinois na New york .[7]
{{cite book}}
: CS1 maint: others (link)
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help)
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help); no-break space character in |title=
at position 131 (help)
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help)