Drew Spence

Spence mnamo 2022

Drew Spence (alizaliwa 23 Oktoba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[1]

  1. "Drew Spence completes move". Tottenham Hotspur (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-28.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne