Dura ya maji

Dura ya maji duniani inaundwa na usimbishaji na uvukizaji.

Dura ya maji (en:water cycle) ni jinsi gani maji huzunguka duniani kuanzia uso wa ardhi, angani hadi uso wa ardhi tena na chini ya ardhi. Maji huzunguka kwa kutumia michakato wa uvukizaji na usimbishaji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne