“Ease on Down the Road” | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||||||
Single ya Diana Ross na Michael Jackson kutoka katika albamu ya The Wiz: Original Motion Picture Soundtrack | ||||||||||||||
Imetolewa | 21 Septemba 1978 | |||||||||||||
Muundo | 7" | |||||||||||||
Aina | R&B, soul | |||||||||||||
Urefu | 3:19 | |||||||||||||
Studio | MCA | |||||||||||||
Mtunzi | Charlie Smalls | |||||||||||||
Mtayarishaji | Quincy Jones Tom Bahler | |||||||||||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | ||||||||||||||
|
"Ease On Down the Road" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na wasanii wawili kati ya Diana Ross na Michael Jackson mnamo mwaka wa 1978. Wimbo ulishika nafasi ya 1 kwa wiki kadhaa. Kwa taarifa za Consumer Rapport, wimbo ulishika nafasi ya 19 kwenye chati za Hot Soul Singles na #42 kwenye chati za Hot 100.[1]