Eddie Murphy | |
---|---|
![]() Eddie Murphy kwenye sherehe za Tribeca mnamo 2010 | |
Amezaliwa | Edward Regan Murphy 3 Aprili 1961 Brooklyn, New York, Marekani |
Miaka ya kazi | 1982 - hadi leo |
Ndoa | Nicole Mitchell Murphy (1993-2006) |
Edward "Eddie" Regan Murphy (amezaliwa tar. 3 Aprili 1961, Brooklyn, New York City) ni mwigizaji wa filamu, mchekeshaji, na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Eddie, pia amewahi kupata Tuzo ya Golden Globe mnamo mwaka wa 2006 na pia aliwahi kushindanishwa katika ugawaji wa Tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 2001. Alikuwa mwanachama wa kawaidia kwenye kipindi cha TV cha Saturday Night Live kuanzia 1980 hadi 1984.