Edmund Whalen

Edmund James Whalen (alizaliwa 6 Julai 1958) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani ambaye amekuwa akihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la New York tangu mwaka 2019.[1]

  1. Pope Francis Accepts Resignation of Bishop John Jenik, Names New Auxiliary Bishops for Archdiocese of New York (Press release). United States Conference of Catholic Bishops. October 10, 2019. http://www.usccb.org/news/2019/19-174.cfm. Retrieved October 10, 2019.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne