Edward William Clark

Edward William Clark (alizaliwa 30 Novemba 1946) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Los Angeles kuanzia mwaka 2001 hadi 2022.[1]

  1. "Bishop Edward Wm. Clark | LA Catholics". Archdiocese of Los Angeles (kwa American English). 2019-12-15. Iliwekwa mnamo 2023-11-05.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne