| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Amhrán na bhFiann "Wimbo wa Askari" | |||||
Mji mkuu | Dublin | ||||
Mji mkubwa nchini | Dublin | ||||
Lugha rasmi | Kieire, Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri Michael D. Higgins Micheál Martin | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa Katiba |
24 Aprili 1916 6 Desemba 1922 29 Desemba 1937 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
70,273 km² (ya 120) 2.00 | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
4,609,600 (ya 121) 65.3/km² (ya 142) | ||||
Fedha | Euro (€)1 (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
WET (UTC+0) IST (WEST) (UTC+1) | ||||
Intaneti TLD | .ie2 | ||||
Kodi ya simu | +353
- | ||||
1 kabla ya 1999: Irish pound. 2 kuna pia anwani za .eu (Umoja wa Ulaya) |
Eire (pia: Ireland, Ayalandi; kwa Kiingereza mara nyingi Republic of Ireland) ni nchi ya kisiwani katika funguvisiwa la Britania ya Ulaya.
Eire ilitawaliwa na Uingereza hadi mwaka 1922. Sehemu ya kaskazini ya kisiwa imebaki kama sehemu ya Ufalme wa Muungano (pamoja na Uingereza, Uskoti na Welisi).