Elon (kwa Kiebrania אֵילֹן, Elon, ʼÊlōn, "Mwaloni") alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.
Kadiri ya Waamuzi 12:11 alikuwa wa kabila la Zebuluni akaongoza Israeli kwa miaka 10[1].
Waamuzi 12 na wengineo |
---|
{{cite journal}}
: Cite journal requires |journal=
(help)