Emilia-Romagna

Emilia-Romagna, Italia
Mahali pa Emilia-Romagna katika Italia.

Emilia-Romagna ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kaskazini mashariki.

Mji mkuu wake ni Bologna.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne