Emmanuel Mapunda

Emmanuel Mapunda (10 Desemba 1935 - 16 Mei 2019) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1987.

Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Mbinga hadi mwaka 2011 alipostaafu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne