Emmanuel Macron | |
Rais wa Ufaransa (2017)
hadi 2016 Waziri wa Uchumi | |
Muda wa Utawala 26 August 2014 – 30 August 2016 | |
Waziri Mkuu | Manuel Valls |
---|---|
mtangulizi | Arnaud Montebourg |
aliyemfuata | Michel Sapin |
tarehe ya kuzaliwa | 21 Desemba 1977 Amiens, Ufaransa |
chama | En Marche! (2016–present) |
chamakingine | Chama cha Kisoshalisti cha Ufaransa (2006–2009) |
ndoa | Brigitte Trogneux (m. 2007–present) |
mhitimu wa | Paris X Nanterre Sciences Po École nationale d'administration |
Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (alizaliwa Amiens, 21 Disemba 1977) ni mwanasiasa nchini Ufaransa ambaye mwaka 2017 alichaguliwa na wananchi kuwa rais wa taifa. Akiwa na umri wa miaka 39, Macron akawa rais mdogo zaidi katika historia ya Ufaransa