Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Othaya ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Eneo bunge la Othaya ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.
Eneo Bunge la Othaya lina jumuisha tarafa ya Othaya ya Wilaya ya Nyeri.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Othaya ndio mji mkuu katika eneo bunge hili. Mwai Kibaki, rais wa zamani wa Kenya, alikuwa mbunge wa Othaya tangu mwaka wa 1974. Kabla ya hapo, alikuwa mbunge wa Eneo Bunge la Doonholm (kwa sasa ni Makadara).