Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Magarini ni jina la Jimbo mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana pwani na ni mojawapo ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Kilifi. Jimbo hili linajumuisha wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la kaunti.