Dola la Eritrea ሃገረ ኤርትራ (Kitigrinya) | |
---|---|
Wimbo wa taifa: ኤርትራ ኤርትራ ኤርትራ (Kitigrinya) "Eritrea, Eritrea, Eritrea" | |
Mji mkuu na mkubwa | Asmara |
Serikali | Udikteta |
• Rais | Isaias Afwerki |
Eneo | |
• Jumla | km2 117 600[1] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 6 274 796[1] |
PLT (PPP) | Kadirio la 2019 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
PLT (Kawaida) | Kadirio la 2019 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
HDI (2022) | ![]() |
Sarafu | Nakfa |
Majira ya saa | UTC+3 (Afrika Mashariki) |
Msimbo wa simu | ++291 |
Msimbo wa ISO 3166 | ER |
Jina la kikoa | .er |
Eritrea, kirasmi Dola la Eritrea, ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Mashariki na Kusini-Mashariki Eritrea ina pwani ndefu katika Bahari ya Shamu. Upande wa Magharibi imepakana na Sudan, upande wa Kusini imepakana na Ethiopia, na Kusini-Mashariki kuna nchi ya Djibouti. Eneo hili lote hujulikana pia kama Pembe ya Afrika.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) (Archived 2023 edition)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)