Ernesto Maguengue

Askofu Maguengue mwaka 2015

Ernesto Maguengue (amezaliwa 2 Agosti 1964) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Msumbiji, anayehudumu kama Askofu Msaidizi wa Nampula.

Alipadrishwa tarehe 14 Mei 1989 huko Maputo. Tarehe 24 Juni 2004 aliteuliwa kuwa Askofu wa Pemba, nafasi aliyoshikilia hadi alipojiuzulu tarehe 27 Oktoba 2012. Mnamo 6 Agosti 2014, aliteuliwa kuwa Askofu Msaidizi wa Nampula na Askofu wa jimbojina la Furnos Minor.[1]

  1. "Bishop Ernesto Maguengue". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 26 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne