| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Mu isamaa, mu õnn ja rõõm | |||||
Mji mkuu | Tallinn | ||||
Mji mkubwa nchini | Tallinn | ||||
Lugha rasmi | Kiestonia | ||||
Serikali | demokrasia Kersti Kaljulaid Kaja Kallas | ||||
Uhuru Ilitangazwa ilikubaliwa Ilitwaliwa na Urusi Ilitangazwa tena ilikamilika |
24 Februari 1918 2 Februari 1920 16 Juni 1940 20 Agosti 1991 6 Septemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
45,100 km² (ya 13) 4.56% | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
1,315,819 (ya 154) 29/km² (ya 173) | ||||
Fedha | Euro (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .ee1 | ||||
Kodi ya simu | +372
- |
Estonia (kwa Kiestonia: Eesti au Eesti Vabariik) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi.
Finland iko ng'ambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki na watu wake wana asili moja na Waestonia.