Ewadi na Ewadi

Walivyochorwa mwaka 1400 huko Cologne.

Ewadi na Ewadi[1] (walifariki 695 hivi[2]) walikuwa wamonaki mapadri kutoka Northumbria (Uingereza) maarufu kwa umisionari wao kati ya Wasaksoni (Ujerumani ya leo) ambao waliuanza chini ya Wilibrodi na uliendelea kwa miaka michache kuanzia mwaka 690 hadi walipofia dini ya Yesu Kristo kwa mikono ya wenyeji Wapagani[3].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[4].

  1. Both bore the same name, but were distinguished by the difference in the colour of their hair and complexions. Catholic Encyclopedia, Sts. Ewald, volume=5, by Columba Edmonds
  2. Staab, Franz (1988). "Die Gründung der Bistümer Erfurt, Büraburg und Würzburg durch Bonifatius im Rahmen der Fränkischen und Päpstlichen Politik". Archiv für Mittelrheinische Kirchengeschichte. 40: 13–41, pp. 36-37.
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/93285
  4. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne