Faustine Engelbert Ndugulile (31 Machi 1969 - 27 Novemba 2024) alikuwa mwanasiasa wa chama cha CCM nchini Tanzania na mbunge wa jimbo la Kigamboni tangu mwaka 2010.[1] Pia aliwahi kuwa waziri kwa nyakati tofauti [2].
{{cite web}}
: Text "imeandaliwa Mei 2017" ignored (help)