Felichisima wa Todi

Felichisima wa Todi (alifariki Todi au Perugia, Umbria, Italia ya Kati, 313 hivi) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Mei[2]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/54720
  2. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne