Femtomita

Femtomita (ing. femtometer, alama fm[1][2][3]) ni kipimo cha SI cha kutaja urefo mdogo wa 10−15 mita.

Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomu na chembe zake.

Kipenyo cha protoni ni takiban femtomita 1.7 [4]. Kipenyo cha kiini cha atomu cha dhahabu ni takriban femtomita 8.45.

Neno latokana na lugha ya (Kideni: femten (kumi na tano). Umbali huu unaweza pia kuitwa fermi kwa heshima ya mwanafizikia Enrico Fermi.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-23. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-09. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-04-25. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-23. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne